TAARIFA KWA UMMA – YETU Plc

Ndugu wawekezaji mnakumbushwa kuwa Taarifa inatolewa kwa umma kwamba kuanzia tarehe 12 Disemba 2022,Yetu Microfinance Bank PLC imewekwa chini ya usimamizi wa Benki Kuuya Tanzania, msimamizi mkuu wa Sekta ya Benki, kwa kipindi kisichozidisiku tisini (90), baada ya kipindi hicho, Benki Kuu itatoa uamuzi stahiki.Wawekezaji wanashauriwa kuzingatia taarifa hii wanapofanya uamuzi wakuwekeza kwenye dhamana za…

Read More
error: Content is protected !!