Soko la hisa 101

Ni nini maana ya hisa..? Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni flani, kwamfano endapo utanunua hisa ya kampuni kwamfano NMB PLC ,utakuwa mmoja wa wamiliki wa kampuni hiyo na kila faida inayopatikana kutokana na mapato yake basi na ww utajumuishwa ndani yake na pia utakuwa na haki ya kupiga kura katika vikao vya wanahisa…

Read More
error: Content is protected !!