
IJUE TEKNOLOJIA YA BLOCKCHAIN
Bila shaka, teknolojia ya blockchain imekuwa ni mmoja wa maendeleo muhimu katika ulimwengu wa teknolojia. Ilianzishwa kama msingi wa sarafu za kidijitali kama vile Bitcoin na TANZANITE , blockchain imekuwa na matumizi mbali mbali katika sekta tofauti kama vile benki, biashara, elimu, na afya. Kwa ufupi, teknolojia ya blockchain inafafanuliwa kama mtandao uliojikita kwenye mitambo…